Select Menu
Select Menu

Sports

Sports

Entertainment

Music

Video

News

Video

» » Floyd Mayweather VS Manny Pacquiao mpambano tayari umeisha mjue mshindi hapa!


TZ MZUKA 22:31 0


Najua watu wengi waliisubiri hii kwa hamu.. wengine hata sio mashabiki wa boxing lakini walijikuta wakivutiwa na hii.. Promo ilikuwa kubwa sana, pambano la kihistoria ambalo dunia nzima ililisubri ni hili kati ya Floyd ‘Money’ Mayweather na Manny Pacquiao.
Points tayari zimeamua, pambano limeenda kwa round 12, Floyd Mayweather kamshinda Pacquiao kwa points sita tu.. Floyd ana points 117 na Pacquiao ana points 111.







«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani